BATTLE TV
BATTLE TV
  • Видео 1 910
  • Просмотров 17 796 806

Видео

DOMINICK SALAMBA AMCHAMBUA BEKI MPYA WA SIMBA LAMECK LAWI/ SIMBA IMEPATA KIJANA WA KAZI..
Просмотров 4 тыс.12 часов назад
#BATTLETV
Breaking: SIMBA SC WATANGAZA KUACHANA NA PAH OMARY JOBE/ WAVUNJA MKATABA KWA MILLION 400
Просмотров 7 тыс.16 часов назад
Breaking: SIMBA SC WATANGAZA KUACHANA NA PAH OMARY JOBE/ WAVUNJA MKATABA KWA MILLION 400
MCHOME MAPOVU: SIMBA TUMEFELI KUMUACHA SAIDO MSIMU UJAO TUTALIA SANA TUTAKUA MBOVU ZAIDI...
Просмотров 1,8 тыс.19 часов назад
MCHOME MAPOVU: SIMBA TUMEFELI KUMUACHA SAIDO MSIMU UJAO TUTALIA SANA TUTAKUA MBOVU ZAIDI...
MAPYA: MANGUNGU AMEUMBUKA/ KUMBE NI MWANACHAMA HAI WA YANGA CARD YAKE HII HAPA/ SIKILZA MPAKA MWISHO
Просмотров 3,3 тыс.19 часов назад
MAPYA: MANGUNGU AMEUMBUKA/ KUMBE NI MWANACHAMA HAI WA YANGA CARD YAKE HII HAPA/ SIKILZA MPAKA MWISHO
MO DEWJI AMLIPUA VIKALI MANGUNGU AFICHUA MAPYA KINACHOMPA JEURI AGOME KUJIUZULU SIMBA....
Просмотров 9 тыс.21 час назад
MO DEWJI AMLIPUA VIKALI MANGUNGU AFICHUA MAPYA KINACHOMPA JEURI AGOME KUJIUZULU SIMBA....
MO DEWJI AFANYA MAAMUZI MAGUMU/ AWAFURAHISHA WANA SIMBA/ MANGUNGU AUNGANA NA TRY AGAIN..
Просмотров 8 тыс.14 дней назад
MO DEWJI AFANYA MAAMUZI MAGUMU/ AWAFURAHISHA WANA SIMBA/ MANGUNGU AUNGANA NA TRY AGAIN..
KWA UCHUNGU MKUBWA TRY AGAIN AWAAGA SIMBA AKIJIUZULU/ ASANTE KWA KILA KITU MTANIKUMBUKA....
Просмотров 2,8 тыс.14 дней назад
KWA UCHUNGU MKUBWA TRY AGAIN AWAAGA SIMBA AKIJIUZULU/ ASANTE KWA KILA KITU MTANIKUMBUKA....
KISUGU AMLILIA MO DEWJI AMRUDISHE BABRA/ TRY AGAIN, MANGUNGU HAWANA MAPENZI NA SIMBA.....
Просмотров 3,2 тыс.14 дней назад
KISUGU AMLILIA MO DEWJI AMRUDISHE BABRA/ TRY AGAIN, MANGUNGU HAWANA MAPENZI NA SIMBA.....
🔴#Live: KISUGU APAGAWA NA MKUTANO MKUU WA YANGA ASIFIA/ AWACHANA VIONGOZI WA SIMBA KUGOMBANA....
Просмотров 3,7 тыс.14 дней назад
🔴#Live: KISUGU APAGAWA NA MKUTANO MKUU WA YANGA ASIFIA/ AWACHANA VIONGOZI WA SIMBA KUGOMBANA....
SHABIKI WA SIMBA AIMWAGIA SIFA YANGA KWENYE MKUTANO MKUU WA MWAKA/ SIMBA TUJIFUNZE YANGA IMETUACHA
Просмотров 2,6 тыс.14 дней назад
SHABIKI WA SIMBA AIMWAGIA SIFA YANGA KWENYE MKUTANO MKUU WA MWAKA/ SIMBA TUJIFUNZE YANGA IMETUACHA
FEITOTO NA BIG WAICHANA YANGA LIVE/ WASHAMBA/ ENG HERSI ANATAKA NIPOTEE WANAUMIA KUONA NAFANIKIWA...
Просмотров 1,9 тыс.14 дней назад
FEITOTO NA BIG WAICHANA YANGA LIVE/ WASHAMBA/ ENG HERSI ANATAKA NIPOTEE WANAUMIA KUONA NAFANIKIWA...
ZIMEVUJA HIZI HAPA MESSAGE ZA MANGUNGU AKIWATUKANA MASHABIKI WA SIMBA NA WANACHAMA HIZI HAPA....
Просмотров 3 тыс.14 дней назад
ZIMEVUJA HIZI HAPA MESSAGE ZA MANGUNGU AKIWATUKANA MASHABIKI WA SIMBA NA WANACHAMA HIZI HAPA....
BABRA ATIA SAIN KUITUMIKIA SIMBA MBELE YA MO DEWJI/ TRY AGAIN AONDOLEWA KI NGUVU BODI YA WAKURUGENZI
Просмотров 8 тыс.14 дней назад
BABRA ATIA SAIN KUITUMIKIA SIMBA MBELE YA MO DEWJI/ TRY AGAIN AONDOLEWA KI NGUVU BODI YA WAKURUGENZI
KISUGU AJILIPUA LIVE: TRY AGAIN, MANGUNGU KUKATAA KUJIUZULU SIMBA/ MO ANATAKA KUITENGENEZA SIMBA MPY
Просмотров 15 тыс.14 дней назад
KISUGU AJILIPUA LIVE: TRY AGAIN, MANGUNGU KUKATAA KUJIUZULU SIMBA/ MO ANATAKA KUITENGENEZA SIMBA MPY
WAKALA WA FEITOTO ATHIBITISHA FEI KUTIMKIA SIMBA/ AZAM WAMEKUBALI/ MOYO WAKE ANAIPENDA YANGA.....
Просмотров 15 тыс.14 дней назад
WAKALA WA FEITOTO ATHIBITISHA FEI KUTIMKIA SIMBA/ AZAM WAMEKUBALI/ MOYO WAKE ANAIPENDA YANGA.....
GB64 AWAJIA JUU TRY AGAIN, MANGUNGU KUKATAA KUJIUZULU KAMA WENGINE SIMBA/ HAWA NDIO WANATUKWAMISHA
Просмотров 1,3 тыс.14 дней назад
GB64 AWAJIA JUU TRY AGAIN, MANGUNGU KUKATAA KUJIUZULU KAMA WENGINE SIMBA/ HAWA NDIO WANATUKWAMISHA

Комментарии

  • @GregorySulle-we2zl
    @GregorySulle-we2zl 2 минуты назад

    Chama still tunakupenda ila asiende kwa uroporo

  • @MinahaadinaniDinani
    @MinahaadinaniDinani 17 часов назад

    Adina adinan Nitamin siku yasmb day

  • @SwaleheManeno
    @SwaleheManeno 18 часов назад

    Hatujafurahi bado tuone badili yake

  • @CharlesKipanta
    @CharlesKipanta 18 часов назад

    Hapa utopro wanatafuta nini humu mbo awatulii

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 День назад

    Inonga hawezi kupewa nafasi Yanga, acha uongo wa kijinga

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku День назад

    Kwan ni mke wako Hadi sije yanga pumbavu wew Hela inaongea hata mke wako anweza kukuacha kitandani na kaenda Kwa mtu mwengine kisa Hela

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz День назад

      Mitinje maziku. Silaha ya mjinga ni kujihami kwa Matusi. Bishana kwa hoja nasio kujiona mjanja kulipuka tu na mitusi hakuna mjanja aliyetokea mikoa ya Bara huko.

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 День назад

    Labda Chama mwingine jipeni moyo

    • @vaxminja9053
      @vaxminja9053 День назад

      Bado una imani Chama atabaki Simba? Punguza ushabiki

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 День назад

    Simba ni 6 kwa ubora , check data za CAF

  • @goodluckmarika3000
    @goodluckmarika3000 День назад

    Chama asepe 2

  • @KathbetKihongos
    @KathbetKihongos День назад

    Tumechoka na nyinyi.

  • @RazackMajulah
    @RazackMajulah День назад

    Chama kalibu yanga

  • @user-vu6zp1fh7u
    @user-vu6zp1fh7u День назад

    Asante mzamiru,thank you

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 День назад

    😊mleteni Fei toto

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 День назад

    Chama nimsaliti wa simba mlikuwa hamumfahamu tu .Muacheni aende huko.anakotaka .

  • @DeborahSaitoti-oy7fm
    @DeborahSaitoti-oy7fm День назад

    Asiondoke please

  • @abdalla8193
    @abdalla8193 2 дня назад

    Asiondoke

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh 2 дня назад

    Mzamiru Asiachwe huyo ni ngoro kante wa bongo

  • @issanangambu1719
    @issanangambu1719 2 дня назад

    Kwani yanga si wamefungiwa 😅

  • @OsimundMahundi-he9fl
    @OsimundMahundi-he9fl 2 дня назад

    Anastahili kuondoka muda imetupa mkono

  • @CharlesSomeke-ml7ju
    @CharlesSomeke-ml7ju 2 дня назад

    Huna ukubwa wowote

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 2 дня назад

    Kitughuuuu

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 2 дня назад

    Kweli Makolo ni CHAKAVU Makocha Wachezaji Wengine hawataki kuendelea na Simba Chakavu Laana ya Misalaba na Jeneza inawatafuna na Bado itaendelea

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 дня назад

    are u sure?

  • @user-jk5qb6sz3k
    @user-jk5qb6sz3k 2 дня назад

    Mwamba bdo simba sana ayonimanenotu ya semaji la CAF

  • @user-bo5of5kx1v
    @user-bo5of5kx1v 2 дня назад

    Dada umeongea point sana ongela sana

  • @MuriYahya-g8h
    @MuriYahya-g8h 2 дня назад

    Wanasimba mnasem ukwel au

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 2 дня назад

    Hata timu ya taifa Hana namba ,ndiye aliye mharibu hata mosses phiri.aende zake. Rafiki yake mkude yupo huko

  • @amanifadhi
    @amanifadhi 3 дня назад

    Mnatesekaga kwachama namnahisi chama atacheza yanga

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 3 дня назад

    Wakati Simba alikua analipa million50..sassa huo uchizi au matako

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 3 дня назад

    Chama hajazeeka ila alikuwa anakosa malisho simba

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 3 дня назад

    Sisi wanaSimba hatuuna shaka akacheze tuu ndiyoo kaziyake kucheza Soka. Muda ukifika utaongea.

  • @innocentramadhani
    @innocentramadhani 3 дня назад

    akapate marisho mengine

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 дня назад

    Ameishazeeka huyo eende tu

  • @frbm1729
    @frbm1729 3 дня назад

    Aende tuuuuuu

  • @user-kl6uj2dh9y
    @user-kl6uj2dh9y 3 дня назад

    tumesha mchoka atase

    • @dismanManota
      @dismanManota 3 дня назад

      Acha ushamba sio tumeshamchoka umeshamchoka

  • @joelsaganya4077
    @joelsaganya4077 3 дня назад

    Transition ya Simba company bado na hakuna future kabisa

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u 3 дня назад

    Mgunda kocha mdogo sana sio level ya simba

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 3 дня назад

    Imetosha aondoke kafanya mengi mazuri Simba Sasa basi tunashukuru aondoke tu akiendelea kubaki atatuvuruga zaid

  • @user-pt5we2gu4l
    @user-pt5we2gu4l 3 дня назад

    Aende tumechoka namboyake

  • @victorkaungo
    @victorkaungo 3 дня назад

    Tusije tukapoteza watu wazuri kama kanoute tukaleta watu siyo

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 3 дня назад

    Chama ni mchezaji kwa Mpira wa kizamani usiohitaji Kasi. Tumpeni Mtani atamsaidia sana

  • @rahmalutengwe2901
    @rahmalutengwe2901 3 дня назад

    Chama yupo Simba sanaaa

  • @rahmalutengwe2901
    @rahmalutengwe2901 3 дня назад

    Hii sio kweli kabisaaa,mbona Ahmed haongei

  • @KelviniKelvini
    @KelviniKelvini 3 дня назад

    Ili jamaa shoga ili lilimponda leo lamsifia

  • @KwellyRyoba-xp6yr
    @KwellyRyoba-xp6yr 3 дня назад

    Thanks chamade for all the best you done.I as a simba fan will not disregard ,real you are the special legend.Let it be the end with all splendid success there you will be if possible in the coming season.

  • @FrankChikawe
    @FrankChikawe 3 дня назад

    Ivi jaman nikweli kuhsu mayele?

  • @user-je9ek9mo3i
    @user-je9ek9mo3i 3 дня назад

    Mauzauza hoyeee

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa 3 дня назад

    Japo bado sio rasmi, manula aliihujumu timu kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi na inonga. Waondoke tuu waende kule walikochukua hongo.

  • @SaidMana-dp4et
    @SaidMana-dp4et 3 дня назад

    Aondoke wala hatuna. Plesua mzee huyo tunataka vijana sio wazee tena maringo mengi aende yanga akamalizie mpila wake

  • @user-kn5je7zl1r
    @user-kn5je7zl1r 3 дня назад

    Tuna mkarbisha sana mwamba waku tetema.